#WillyPaul #saldidointernational #umeme
- Umeme
Composed by - Willy Paul
Performed by - Willy Paul
Record Label - Saldido International Limited
Voice Effects by - Willy Paul
Beat Maker - Kimambo On The Beat TZ
Mixed and Mastered by - Lizer Classic TZ
Chorus:
mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme.
Verse:
Kila napo kam kam baby we ni tam tam, moyo wangu umefanya zam zam kama gari nanguruma vrum vrum na kwa mapenzi girl umenifanya bubu.
Ooh baby
i really love you and you already know×3
Uuh my love I was born to be with you
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3
Verse:
Ngozi yako iko soft soft, mtoto we ni soap soap. Matatu yangu iko pararapirera iko ready kuku beba. In this life, the little things that you do keep me
in this life your prayers mama keep me
Because of you, I'm nolonger bwana mkunaji sami ni bwana mpendaji mama swear staki ata Nandy, kanifunza ukunaji mama. Mmmh mmmh.
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3
Verse:
Kila corner umeteka thitima nishazama kwa mapenzi ooh thitima, kila corner umenibeba, nishazama kwa mapenzi ooh thitima.
Ooooooooh !!
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3